Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

16.10.17

Jinsi ya kuroot Tecno C9

Habari njema kwa watumiaji wa Tecno C9,wengi walizoea kuroot simu nyingi kwa kutumia kingroot lakini ujio wa Android 6(marshmallow) inekuwa mtihani kwa wengi.
Tecno C9 ûnaweza kuroot lakini kwa kutumia pc,sasa kabla ya kuanza zoezi lako hakikisha ume unlock bootloader kwanza.
SOMA PIA:- Unlock bootloader simu za Tecno
 Kama umesha unlock twende pamoja

          NAHITAJI 

TWRP recovery C9 👉 Download
Super SU 👉 Download
Kompyuta
Chukua Super SU.zip weka kwenye sd card nje ya folda.
Hapa itakubidi utumie ile minimal adb and fastboot chukua TWRP Recovery.img  uliyofungua changanya ndani ya folda 1 na minimal adb and fastboot.
Zima simu yako unganisha na USB  reboot kwenye fastboot mode kisha fungua minimal adb and fastboot.exe
Andika code hizi fastboot boot recovery.img 
Hapo TWRP itapekekwa mpaka kwenye simu yako kisha utatelezesha kwelekea kulia hapo Recovery itakua imekaa kwenye simu yako na itakuuliza unataka kuroot simu yako kataa kisha rudi nyuma nenda Install   utaona ile Super su.zip flash hapo utakuwa umemaliza na simu yako itakuwa rooted.
Ingia playstore pakuwa root checker