Kitu cha kuzingatia ni kupata faili husika(kulingana na modeli ya simu yako)
Odin inatumika kwa simu zote za aina hiyo.
Kama unatumia Samsung J7 SM-G610F Unaweza kupakua file la auto root hapa👉 J7 SM-G610F
Unalifungua(unzip)ndani kuna file 2 Odin.exe na J7 SM-G610F,zima simu yako afu washa kwa Download mode(bofya kwa pamoja cha kuwasha na cha kuongea sauti pamoja na home) unganisha simu yako na kompyuta,fungua odin kama simu imeungana na kompyuta iutaona neno added
Baada ya hap nenda PDA pigia tik afu add file la auto root kule ulikofungulia lile file la zip
Piga start na ikimaliza simu yako itajiaanzisha na utaona app ya Super US . ingia playstore pakuwa root checker na simu yako itakuwa rooted
Kama una swali uliza kwenye comment chini au pia unaweza kujiunga nasi kwenye group letu Telegram SmatSkills