Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

17.10.17

JINSI YA KUONGEZA SPEED YA CHROME BROWSER YAKO YA SIMU

Habari za saizi wasomaji na wapeluzi wa blog yetu ya smatskills. Leo nitaenda ongelea ni jinsi gani unaweza kuongeza na kuhack baadhi ya settings za chrome browser yako.

MAHITAJI
1. Android phone
2. Internet connection

Hivyo basi maswali mengi watu hujuuuliza kwann application kama hizi kwann znakuwa slow wakat zingine kama UCBROWSER znakuwa znaspeed kuopen pages na mtumiaji afurahie internet browsing yake.? Kwann

Jibu ni kwamba application hizi znakuwa znatofautiana hasa kwenye database, aina ya uuundwaji pia uwezo wa kuaccept cookies na kustore caches.

Hivyo basi leo nitaenda kuwaonesha settings nzr ambazo zitafanya chrome yako iwe speed kuliko UCBROWSER na browser zingine.

HATUA ZA KUFUATA.
 1. Ingia kwenye chrome ya simu yako upande wa settings na ubadilishe vitu vifuatavyo;
      
       WASHA DATA SAVER -ON
       JAVA SCRIPT WEKA ENABLED

2. Baaada ya kufanya hivo ingia sehemu ya kusearch kwenye chrome yako kisha search CHROME://FRAGS kisha press ENTER

Hii itakupeleka kwenye sever settings ya chrome na tu baada ya kufika huko naomba fuatana nami kwenye video hii hapa chini 👇👇👇👇👇