Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

7.10.17

Jinsi ya kuitambua Memory Card Original

Watu wengi sana wamelizwa, wameibiwa au wamebambikwa memory fake,hii inatokana na wengi kutokuwa na ujuzi sahihi wa kuzitambua hizi memory.
Muonekano kwenye SD card


Muonekano wa Memory ya ndani
Unaweza kuta unaenda dukani unaambiwa hii GB32 utauziwa kwa elfu 10. Ukiangalia ni GB32 kweli imeandikwa na hata ukiweka kwenye simu yako inasoma ujazo huo huo,leo nakupa app ndogo sana ya kutambua huo uongo wa wafanyabishara.
  Cha kufanya unapoenda kununua hakikisha umeenda na simu yenye app ya SD Insight Kwa ajili ya ukaguzi.