Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

19.10.17

JINSI YA KUFLASH NA KUOPEN MODEM ZA TIGO HUAWEI E303H

Habar za saizi ndugu zangu!!!  Leo nitaenda waonesha jinsi ya kuflash modem za huawei 303h za tigo ili iweze support line zote hapa bongo.

Hivo bhac bila kupoteza mda twende tukaaaanzeee tutorial yetu.

   MAHITAJI.
1. Huawei modem unlocker ipakue HAPA 30KB
2. Firmware ichukue ya huawei modem 303h ipakue HAPA au HAPA NI MB 13
 
      JINSI YA KUFANYA
1. Install drivers za Huawei E303H kwa ku install software ya modem
NOTE. Hakikisha umeweka line ya mtandao mwingine usiweke ya tigo weka ya mtandao mwingine mfano voda,  AIRTEL au halotel... N.k


          PIA WAWEZA ANGALIA JINSI YA KUONGEZA COMPUTER YAKO SPEED NA IWE NA GOOD PERFORMANCE  HAPA


2. Kama umeweka line tofauti itatokea ujumbe huu hapa chini 👇 👇 👇
 
     


3. Click OK kisha fungua software ya modem.
4. Fungua huawei unlocker (uliodownload hapo juu 30kb)  hakikisha imesoma IMEI NUMBER, Kisha click calculate. Hii hapa 👇

         

5.Nakili (copy) flash code baada ya kupress calculate utaona FLASH CODE zinakili utakuja zitumia kwenye hatua imayofuata.
6.Fungua firmware yako (hio uliodownload haoo juu 13mb)  kisha click START. 


Hapo kwenye password weka FLASH CODE zako ulizonakili awali,  Subiri utajitokeza ujumbe kama huu hapa chini 


Hapo utakuwa umefanikiwa ku-unlock modem yako ya Tigo huawei E303H 


@ahsanteni kwa kunisikiliza ukikwama sehemu tunaomba tujulishe kupitia comments hapo chini.
@SMATSKILLS 2017.