Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

22.10.17

itel wazindua simu tatu kwa mpigo

Kampuni ya simu ya itel wameachia simu tatu kwa mpigo hapa wamelenga wale wanaopenda kujipiga picha,simu nzote zinakuja na kamera mbili za mbele [selfie]

                
         Sifa za  Itel S32
 • Kamera Mbili za Mbele
 • Fingerprint Sensor
 • KIoo cha 5.5"HD
 • 1GB RAM + 16GB ROM
 • Betri 3000mAh
 • Android Nougat 7.0
 • MediaTek Processor
 • kamera ya  nyuma ni MP 8 

           
           Sifa Itel S32 LTE
 • Fingerprint Sensor
 • Inaja na speed ya 4G LTE
 • Kioo chake  5.5"HD 
 • 2GB RAM + 16GB ROM
 • Betri lake 3000mAh
 • Android Nougat 7.0
 • MediaTek Processor
 • Kamera ya Nyuma 8 Megapixel

             Sifa za itel S12

 • Kamera mbili za mbele
 • Fingerprint Sensor
 • KIoo cha 5.0"IPS 
 • 1GB RAM + 16GB ROM
 • Betri  2400mAh 
 • Android Nougat 7.0
 • MediaTek Processor
 • Kamera ya nyuma MP 8