Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

22.10.17

IFAHAMU WIFINASPECT NA UFANYAJI WAKE WA KAZI.

NOTE.
1.Sitohusika na uharifu wowote utakaofanyika.
2. Sitoi hili somo ili watu wawe majambazi au wezi wa network hii ni kwa ajili ya education purpose.
3. Tulia na baki nami.... Loading 45%

WIFINASPECT (ROOT) NI NINI?
Hii ni program ya simu ambayo hutumika katika computer security, researchers na network administrators.


Pakua WIFINASPECT DOWNLOAD HAPA

Note. Ili utumie hii hapo ikonect simu na WIFI network

MATUMIZI YA WIFINASPECT
Hii program ina matumizi mengi na makubwa sana.  Nayo ni
       - hacking environment
       - Upnp device scanner
       - Pcap analyser
       - Access point scanner
       - Internal and external Vulnerability scanner
       - Host vulnerability scanner
        - Traceroute..Note. Nitazigusa hizo sehemu so msijali wapenz wasomaji.
   
       SEHEMU ZA KUFAHAMU ZA HII APP
1. NETWORK INFO.
Hapa huonesha taarifa zote za watu na sever zao wanaoingia kwenye network kama vile hapa huonesha capabilities, frequency channel, access point, MAC ADDRESSES, signal strength, DHCP sever addresses n.k
Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

2.UPnP ( universal plug and play devices)
Hii ni sehemu inakuwezesha kuscan network kwa 
Upande wa UPnP devices inaoneaha device name na IP ADDRESSES.

    3. HOST DISCOVERY (HACKING ENVIRONMENT)
Note narudia cfundishi ujambazi ni education purpose.
Hapa kwenye host discovery huonesha devices zote znazoingia kwenye network
Huonesha details zifuatazo.
a) local IP address
b) host name
C) MAC ADDRESS na
D) vendor names

Ili kupata hizo details, utatumia njia mbili ambazo ni
>>> complete scan
>>>partial scan.
Tutaelezea kila moja tuanze na

             COMPLETE SCAN
Hii app kwenye hii complete scan hufanya full scan, itascan na kukupa details zote na addresses zote zilizokuzunguka kwenye network environment yako. Yaan mahali ulipo.
           PARTIAL SCAN.
Hii ipo tofauti na complete scan..hii partial scan mda mwingine tunaita itself scan kwasababu huscan IP ADDRESS YA SIMU yako. (ip address /24)

Yani nikiaema ip address/24 namaanisha kitu kinachofanyika hapa ni kwamba inachukua ur ip address kisha ina gawa kwa 24.
Mfano.
Ip address yako ni 192.168.1.100 utagawa kwa 24 utapata 192.168.1.0 to 192.168.1.255 hio ndo partial scan inavyofanya so hii app itascan with in particular range.

NOTE NA KUMBUKA
Hii partial scan haina maficho kwamba user usipokuwa makini ni rahis kujulikana na vinasa hacking software system.  So kuwa makini unapotumia hii partial scan kwenye network that you dont own.

Baada ya kuscan na hizi njia utapata majibu kama kwenye picha hapo chini..

Hayo ndo majibu utakayopata baada ya kuscan. 
Hivo basi mfano ukibonyeza hapo kwenye moja ya IP ADDRESS UTAPATA list ya options ambazo ni hizi hapa chini.

. Host information 
.port scan
.host vulnerability scan
.Traceroute 
. Ping and sniff on host.

NOTE nitaenda kuzielezea kila moja. Hapo chini 
A) HOST INFORMATION 
Hii itaonyesha device MAC ADDRESS,  operating system,vendor, hostname,work group (kama inamilikiwa na campuni) na device name.


B) PORT SCAN
Hapa utapata list ya open ports zote na services zote zinazorun kwa kutumia nmap. Na kama unataka kuona details zaidi mfano metasploit results ya OS husika ya simu weee press katika port


C) HOST VULNERABILITY SCAN
Hii option sidhan kama inafanya kazi kwasababu huwaga inaleta errors 

D) TRACEROUTE 
Hii inakusaidia kufanya routing kwa host kwa kutumia nmap

E) PING
Hij inaoneaha ni mda gani hii sytem huchukua packetssato kufika kwa host.

F) SNIFF ON HOST.
Hii inacapture traffic zote kwenda na kutoka kwa host.

4..NETWORK SNIFFER
Hii inasaidia na kukuwezesha ku capture na kusave network traffic zoteeee.
Hiini sehemu ambayo imatumia tcpdump to sniff on all packets in the network. 

Nini maana ya tco dump soma HAPA
Mfano wa picha ya network sniffer hii hapa chini 

Baada ya kutumia hii hio saved traffic files a.k.a pcap files can be analysed kwa kutumia built in packet analyser packat au unaweza tumia WIREAHARK.

P.CAP ANALYSER 
Hii huonesha Pcap files zote na kutumia jnet pcapto kuzi parse hiO files. 
Na ili uweze kuzianalyse hizo pcap file, zibonyeze na kisha select a particular analysisTuongeleee na hiki kitu kitakusaidia.

PCI DSS MENU.( NETWORK SECURITY)
kwa uelewa wangu hii sehemu ni kubwa na muhimu sana katika hii app.
Hii sehemu itakufanya ku default password tests, security test na internal/external network vulnerability angalia picha hapo chini 👇

Nadhan according to hio picha naona kuna menu kadhaa hapo sasa nitaenda kuelezea moja moja znamaanisha nn.

>>ACCESS POINT DEFAULT PASSWORD TEST
Hii utachek na kutest kwamba password iliyomo au kuwekwa ina match na ile kwenye access point control zako!?

Kama zinamatch unatakiwa haraka iwezekanavyo kabadilishe password zako soon as possible ( LA SIVYO WATA KUHACK EASY)

>>ACCESS POINT SECURITY TEST
Hii inavaluate access point security kama ziko stable

>>ACCESS POINT SCAN
Huonesha access point zote zilizoviewed kwenye device yako.

>>INTERNAL NETWORK VULNERABILITY SCAN
Hii itakufanya na kukuruhusu kutafuta vulnerability (uwezo) kwenye internal network. 

>> EXTERNAL NETWORK VULNERABILITY SCAN
Hii ni kama hio hapo juu sema yenywe hii inakuwa external network 

NOTE.  Usitumie internal/ external Vulnerability scan hizo juu hapo znatumia high CPU ya simu na kutumia battey power kubwa ya simu.


@ahsante kwa kunisikiliza ukiwa na swali njoo kwenye comments hapo chini
@SMARTSKILL 2017.