Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

28.10.17

IFAHAMU CYBERGHOST VPN HAPA

Katika hali ya kawaida tumekosa ufree utakao tufanya kufanya kila kitu katika ulimwengu huu teknlogy.  hivyo bhasi watanzania wengi tunaishi maisha ambayo ni tegemez na inafikia wakati mwingine hufikia kipindi endapo unataka kutumia kitu kizuri internet mara nyingi tunanyanyaswa kwa kuambiwa THIS SERVICE IS NOT AVAILABLE IN YOUR COUNTRY.

Hii inatokana na nini?
Hii hutokana na mitahara yetu ya network iko poor au haina vigezo vya kuingia sehemu katika network na kupekua kile ambacho mtu anataka.
Sasa HUUU TUNAITA UBAGUAJI!!!!!


SWALI.!! Nini solutions ya haya matatizo yote!?

Jibu ni moja tu CYBERGHOSTTTTTTT!!!!!  Baki nami!


CYBERGHOST VPN NI NINI?
 Cyberghost ni aina ya application ambazo hutumika kama private network ambazo hufanya kazi mbalimbali kwa dhumuni la kukufanya uwe free kwenye njia zako za network browsing na kumaintan security katika data na kila kitu ufanyacho kwenye network. 

AINA ZA CYBERGHOST VPN
hii application imegawanyika katika makund mawili kutokana na matumizi ya mtu
1. Cyberghost ya PC 
2. Na simu                 

Hivo basi kutokana na haya makundi utofauti upo kwenye matumizi ambapo hii cyberghost ina matumizi yaliyogawanyika katika sehemu kuu tatu

1. Free trial ambayo matumizi ni kwa mwez 1
2. Kuna premium ambayo hii ni kwa miezi 6
3. Kuna unlimited life time ambayo hii utatumia wakat wote wa maisha yako.

UPATIKANAJI WA CYBERGHOST VPN
Katikavhali ya kawaida upatikanajivwa hii vpb ni mgumu sana hsa upande wa premium.  Kwasababu, 2016-2017 kampuni hii waliamua kupatua soko lao kwasabbu cyberghost ni vpn ambayo inaongoza kwa rating by that time. 

Hivo bhac waliamua kutoa na kublock link na websites zote ambazo zilikuwa znatoa hii software bure hasa upande wa premium both 6 months acc na life time acc.

Lakin leo hii smatskills tumekuletea lifetime cyberghost vpn for free 
Download hapa πŸ‘‡ 



               Pia kwa version ya Pc pakua hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 


Kama ni siku yako ya kwanza kufungua cyberghost vpn baada ya kuconnect utaona hizi kurasa 

1. Wifi auto protect.
Hiii ni sehemu ambapo endapo ukitaka security kwa upande wa wifi.  chakufanya connect wifi network ya simu kama kawaida kisha njoo napo kwenye wifi ya cyberghost pia connect ili uwe secured. Huo ukarasa utakuta kama hivi πŸ‘‡ πŸ‘‡ 

2. Secured streaming 
Hii ni sehemu ya pili hapa inamaanisha kwamba haijalishi upo wap ila utaendelea kuview vitu vyako kwenye network ulivyokuwa ukitumia nchini kwako. Na sehemu hiii ukifungua utakuta vitu vingi sana mfano CHANNEL ZA TV,  MOVIES SITES n.k na zote huwez kuzipata mpka uwe unaishi kwenye nchi husika lakin ukiwa na cyberghost utafanya chchte 

3. Surf anonymously 
Hapa ni kwamba inachofanya itakuprotect kama kama nlivyoelezea kwenye protect wifi. 

4. CHOOSE my sever
Hapa utachagua sever yoyote kwa wale wa premium apk na itakuprotect na kukuwezesha kuingia popote.  






FAIDA YA CYBERGHOST VPN 
1. Ina limda information zako za siri mfano IP ADDRESS yako.
  ip address ni namba zilizopo kwenye mfumo na utaratibu maalumu ambazo tunaitwa jina la device kwasababu endapo mtu akinunua line au kuweka line au kuwasha simu yake, kile kitendo cha kuwa online husababishwa na mtoa huduma wako kinachofanyika ni kwamba anakupa hizi tarakimu (ip address)  ili uweze kutambulika kwenye network. 

Hivyo bhac simu inapoingia kwenye network mfano ukawa una browser google au site yyte unapoingia tu kwenye internet unapewa unique name na hizo unique name ndo hizo IP ADDRESS. 

Hivo bhac ukitaka kuchek jina lako utakalopewa endapo umeingia kwenye network

Nenda kwenye browser yako kisha search MY IP itakuletea ip address ambayo umepewa na network services. Itaonekana kama hivi πŸ‘‡
 
Hiyo hapo juu ndio ip yako with out cyberghost 
Na ukienda hapo chini MY IP INFORMATION utakuta details zaidi kuhusu ip address yakoitaonekana kama hivi πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 
Your ip address itakuwa na details hizo πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†. Kumbuka hio ni with out cyberghost connected.

Sasa cyberghost inasaidia nn hapo? 
Cyberghost itakusaidia kukufichia hizo deatails zote yan hata ukifanya chchte kwenye network kitakusecure wasikujue na ukaingia sehemu yoyote na kufanya chchte ukachukua chchte bila mtu kukujua.  
Sasa twende tukaconnect cyberghost alafu tuchek ip information zetu check hapa chini baada ya kuconnet.

Nadhan mmeona.  Sasa hii itakulinda utakuwa secured utafanya chchte kwenye internet hakuna atakaye kujua. 
NOTE.  Location iwe off

2. Inampa user ufree kwamba unaweza ingia popote na kufanya lolote mfano kuna mitandao au sites zingine ukitumia line zetu hizi za TANZANIA unakuta unaaambiwa THIS SERVICE IS NOT AVAILABLE IN YOUR COUNTRY . 

Mfano Spotify.  Lakin ukitumia cyberghost vpn utaingia uko na kudownload na kuckiliza music na kutoka bila kujulikana.  Watch this πŸ‘‡ πŸ‘‡ 

Ukiiingia utakuta huo ujumbe πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

Baaada ya kuconnet cyberghost hii hapa chiniπŸ‘‡πŸ‘‡
Baada ya kutumia cyberghost vpn utaweza zama huko na kufanya lolote na mtu yoyote asikusumbue.  Mtu akijarbu kukufatilia ip address yako ataona jina la sever mfano germany sever na ataona line unatumia ya kigermany kila kitu ujerumani hadi akome.  Atakachofanikiwa kuona ni mda ulioingia na kutoka bhac. 

NOTE USIFANYE AU KUTUMIA KWENYE UHALIFU.

3.kutokana na ufree cyberghost itakufanya ISP WAKO (internet service provider)  wako mfano airtel,  halotel n.k kutokuingilia katicha network activities yako pamoja utakuwa unatumia mb zake ila hatokusumbua cha chochote na hatokuona akijaribu kukuchungulia ataona GHOST.

4. Ina save money na MB (DATA),  cyberghost inacompress data used mfano mb yan bando wakati unatumia,  pia

5. Cyberghost kwa upande wa premium apk utapata sever zaidi ya 200 na utatumia yoyote.

6. Cyberghost inastop na kuuwa internet restrictions ambazo huwa mara nyingi znakuwa znalimit user ila ukitumia hii utapita kama mshale.

MADHARA YA CYBERGHOST VPN
Kitu chchte kina faida na hasara sasa hivo hivo kwenye cyberghost kuna madhara yake. 

1. Endapo mtandao ukiwa chini ukiconnect inachukua mda kweli kuconnet au kudisconnect.

2. Competition ya IP ADDRESS kati ya ISP wako na cyberghost vpn pale unapodisconect bila kufuata utaratibu. Hii imekumba wengi sana mtu utakuta ukienda settings/aboutphone /status utakuta IP ADDRESS UNAVAILABLE hii hutokana mtu an disconnect bila utaratibu maluumu. 

Kufix unatakiwa ukidisconnect ingia kwenye browser mfano youtube play kitu chchte imladi ISP wako ajue umerud kundini. AU Nenda 
Settings / mobile network / network operator weka AUTOMATIC. AU kama unaona tabu restart cm.

Ahsante kwa kusikiliza ukiwa na swali njoo chini kwenye comments 
@smatskills 2017