Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

31.10.17

Download theme ya Borussia Dortmund kwenye GBWhatsApp

Hii kwa wapenda mpira wanaijua vizuri club ya Ujerumani Borussia Dortmund,hii ni zawadi kwao na wapenda mionekano mizuri kwenye simu zao.


SOMA PIA:Jinsi ya kubadili muonekano wa WhatsApp

             JINSI YA KUWEKA
Pakua app ya rar ipo playstore,ukishapakua iyo theme(ipo mfumo wa rar) fungua rar yako na nenda moja kwa moja kule ulikopakualia theme, kisha ifungue ukishaifungua ndani kuna file 2 moja ni wallpaper.jpg na ingine ni xml tia tik zote kisha afu bofya kama picha chini inavyoonekana

Hapo utakuwa umefungua theme yako na unaweza ku apply kwenye GBWHATSAPP yako.

SOMA PIA:-JINSI YA KUFLASH NA KUOPEN MODEM ZA TIGO HUAWEI E303H

Kama kuna swali unaweza kuniandikia kwenye Comment au kama unataka kutemgezewa maalum kwa picha zako Karibu sana.