Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

7.10.17

Download Play Store kwenye simu za China

Nchini Uchina hakuna huduma yoyote ya Google,kwa hiyo makampuni mengi hulazimika kutoa aina mbili za simu(international na Chinese versions)ndio maana simu nyingi ambazo ni matoleo ya China(Chinese versions) hazina huduma yoyote ya Google kama Gmail, YouTube,Play Store,Map n.k.
Mtihani unakuja pale ambapo umenunua simu toleo la China na umeenda nayo sehemu zingine nje ya China.
  Je,unawezaje kupata apps na huduma zote za Google???. Apps ├╗naweza kupata mana kuna masoko mengi sana ya apps za android,shida itakuwa Play Store service ambayo ndio inachangia huduma zote kufanya kazi kwa ushirikiano,jambo la kufanya hakikisha una MB za kutosha na ingia hapa kupakua Google Installer   settings/account/add  hapo utaona kuna Google account imeongezeka add account na utakuwa umemaliza mchezo.
ni ndogo sana lakini itachukua muda kidogo kumaliza kuingiza apps zote za Google baada ya hapo nenda
  Una swali uliza utajibiwa