Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

10.10.17

Download nyimbo, video na apps kwa Telegram

Kwa wale wanazi wa kuchat na kujadiliana kwenye makundi mbalimbali mitandaoni basi wanajua utamu wa Telegram ilivyo.

  Telegram ni app kama ilivyo WhatsApp messenger,au Facebook messenger.
App hii haijawa maarufu kama hizo nilizotaja hapo na pia imetengenezwa na yule alietengeneza app ya WhatsApp na kuwauzia facebook.kuna tofauti kubwa sana kati ya app hii na hizo zingine,ukiwa na Telegram unaeza kufanya mengi zaidi kwa msaada wa bot(robot) hizi bot zipo nyingi sana na kila 1 ina uwezo wa kipekee.

Sifa na kazi za bot
  • Kusimamia baadhi ya sheria kwenye kundi
  • Kukaribisha wageni
  • Kuwaonya wavunjifu wa sheria
  • Kuwafunga(ban)waliorudia makosa
  • Kupakuwa video YouTube
  • Kupaku apps mbali mbali
  • Kupakua picha na video instagram
  • Kupakua movies na hata nyimbo

Sifa ni nyingi sana zingine hazielezeki mpaka uone mwenyewe.
Karibu sana kundi letu kwa maujanja na maswali mbalimbali pia SmatSkills