Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

30.10.17

DOWNLOAD MUONEKANO WA GALAXY S8 KWENYE SIMU ZA HUAWEI NA HONOR [EMUI 3.1,4.1]

Kila kukicha kila mtu hutamani kutumia simu janja inayotoka,haijalishi inatoka Kampuni gani,imezoeleka kuwa ukikaa na simu muda mrefu sana unaichoka.
  Kuna kitu kinachoweza kukufanya uone simu yako ni ya kisasa?ndio ni mandhari(themes)mbali mbali unazoweza kupakua kulingana na uhitaji wako,yani kama unataka muonekano wa iPhones,Galaxy au hata Xiaomi ni wewe tu,ukiwa karibu na blog yetu hutapitwa na kitu.
  Leo nimekuandalia muonekano wa Samsung Galaxy S8 katika OS yako ya Emui kwanzia 3.0,3.1,4.0 na 4.1 

unaweza kupakua hapa Galaxy S8
baada ya kupakua,fuata hatua hizi kufanya iweze kuonekana kwenye simu yako
nenda SDcard au internalSD chukua lile file ulilopakua lipo mfumo wa .hwt hamishia kwenye folder la HWThemes baada ya hapo nenda kwenye app yako ya Themes na utaona mandhari yako na hapo unaweza ku apply.
 Unapenda muonekano gani kwenye Simu yako??
Niandikie kwenye Comment na nitakusogezea karibu