Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

1.10.17

Download iOS keyboard


Kwa wale wanaoenda kuandika haraka na fasta basi utaipenda keyboard hii.
     Sifa za kicharazio(keyboard) hiki

  1. Themes nzuri nyeupe na nyeusi
  2. Dictionaries mbalimbali ikiwemo kiswahili
  3. Haina matangazo
  4. Sizes(unaweza kurefusha kadri utakavyo)
Unaweza kupakuwa hapa iOSkeyboard tumia ufurahie usisahahu kushiki na ndugu na marafikia zako