Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

29.10.17

Download GBWhatsApp v6.00

Hi ni toleo jipya la GBWhatsApp unaweza kulipakua zote tatu nimekuwekea hapa

  1. ๐Ÿ‘‰GBWhatsApp v6.00
  2. ๐Ÿ‘‰GBWhatsApp3 v6.00
  3. ๐Ÿ‘‰ GBWhatsApp+v 6.00


Je? ni nini kipya,hili limeongezewa vionjo vingine kama Share live locaton,hide chat(kuficha soga) na mengine mengi yani itachukua mambo mengi yalio katika WhatsApp ya Play Store.

Kuwa karibu na blog yetu kujua mengi zaidi yanayotoka mapya. Samabaza upendo kwa ndugu na jamaa kwa kuwapa link yetu ya blog ili waweze kupakua na kuepuka lugha ya kiarabu.

Kwa maswali na ujuzi zaidi unaweza kujiunga na group letu Telegram SmatSkills