Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

18.9.17

Tumia WhatsApp hadi 4 kwenye simu yako

Hii ni taarifa nzuri hasa kwa watumiaji wa simu za Android,kwa iOS mtasubiri kidogo.
Watu wengi  wametamani sana kufanikiwa lakini hawakuweza,unakuta mtu ana namba 3 za simu au simu yake inatumia line 2.sasa kwa njii hakika utafaidi sana.
           App ya kwanza ni
WhatsApp messenger 
Hii sio ngeni kila mtu anaifahamu, inapatikana Play Store ûnaweza kujipakulia mwenyewe
Njia ya pili ni
GB WhatsApp na GB WhatsApp3
Hizi hazina tofauti ni ndugu, tofauti ni majina tu na icon, GB WhatsApp3 ina icon ya bluu
Kama inavyoonekana hapa chini👇

Pia hawa jamaa wana WhatsApp ingine inaitwa WhatsApp plus lakini haiivi kwenye simu 1 na WhatsApp messenger, kwahiyo sikushauri utumie hii app.
Link ya kupakua GB WhatsApp hii hapa Download
Link ya kupakua GB WhatsApp3 hii hapa Download
Kama kuna sehemu umekwama unaweza kuniandikia maoni yako hapo chini
Pia unaweza kujiunga na group letu telegram kwa link hii pia JiungeSmatSkills