Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

29.9.17

jinsi ya kufix pc problems kwa upande wa START UP na SPEED

Inafikia kipindi unakosa kufanya kazi zako za msingi kwsababu ya performance ya pc yako ....UZITO, KUSHINDWA KUFUNGUA FILES KWA WEPESI , KUTUMIA MDA MWINGI WINDOWS KUSTART UP .........nini jibu la hayo yote WATCH THIS CAN HELP U TO FIX everything.

ANGALIA SEHEMU YA KWANZA HIO HAPO CHINI
 

Angalia SEHEMU YA PILI HII HII HAPA CHINI