Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

15.9.17

Jinsi ya kubadili muonekano wa WhatsApp

      WhatsApp imekuwa ni app maarufu sana kimawasiliano,ukiwa na app ûnaweza kupiga simu,kutuma ujumbe wa maandishi, kutuma picha,video na hata baadhi ya mafile mengine.
  Katika funzo letu nataka tujue namna ya kubadili muonekano wa app yako na kuwa tofauti na kawaida.
  Hapa tutatumia #GBWhatsApp ambayo ina vionjo vingi sana kionjo kimoja wapo ni mandhari (Themes)
       Mahitaji
(1)Pakuwa app ya rar hapa. 👇
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.rarlab.rar

Ukimaliza ûnaweza kupakiwa themes kadhaa nimekuwekea hapa 👇 (2)https://www.mediafire.com/folder/c6c1qaxiq5eqz4v,1avs7zqsueo8vw2,db7vol2kamxsi7o,mx569mfdxc1xds4,302uwag1e47wzdg,v74v4qj86ztu84b

       Ukimaliza kupakuwa hizo unaweza ku unrar izo file na baada ya hapo nenda kwenye WhatsApp yako GB settings/more/load ukifika hapo utaelekea kule uliko fungulia file zako za rar na hatua ya mwisho ni ku apply kama hujaelewa unaweza pia kuangalia video hii hapa👇
https://youtu.be/BJJmiSZKVVM