Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

21.9.17

Jinsi ya ku Root Tecno J5 kwa Recovery

Tecno ni moja ya kampuni za simu zinzokubalika sana Afrika,tecno ina familia nyingi za simu,kati ya familia hizo maarufu ni
          Canon____kwa picha nzuri
           Boom____kwa music mnene


Leo nataka nizungumzie jinsi ya kuroot TECNO boom  J5.
Kwanza lazima uwe na PC alafu andaa mahitaji haya.  Kwa pc install .vcom drivers👉 Download
                                 .Sp flash tools👉 Download
Kwa upande wa simu Download recovery ya Tecno J5 hapa 👉   Recovery img
SuperSU zip👉 Super SU (hamishia kwenye sd card)
Nenda kwenye PC yako sasa.....
Fungua (extract) sp flash tools (weka pembeni)
                               Recovery img(weka pembeni)
Zima simu yako toa betri  unganisha na Kompyuta kwa kutumia usb cable,nenda kwenye sp flash tool run....
Add file ukiingia hapo fuata file liitwalo scartter file
Ukishali add  bonyeza Download kwenye pc na subiri mpaka uone kama hapa chini

Ukiona tik kwenye pc yako kama hivi
chomoa cable weka betri washa simu yako kwenye recovery mode
(Bonyeza kwa pamoja power button na volume up)
Utaletewa options 3 .boot into recovery
                                      .boot into normal
                                       .boot into bootloader


Utaenda kwenye boot into recovery mode kisha utaona hivi
swipe hapo kisha


Intall super su (ile uliyoweka kwe sd card ama internal) hakikisha unaiona kama hivi


Ikimaliza swipe right (telezesha kwenda kulia)

Reboot simu yako na uvute subira kidogo simu itakuwa tayari


ingia playstore pakuwa root checker enjoy life,sasa utaweza kuweka na kutoa Apps kwenye system bila uoga