Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

26.9.17

Jinsi ya ku install apps kwenye system

Kumekuwa na shida ya kuja kupakua apps upya hasa baada ya kufomat/factory reset kutokana na kupenda baadhi ya apps na usingependa zifutike, sasa kupitia njia hii itakusaidia.
 Kwanza lazima simu yako iwe rooted
Kuna njia kadhaa za kufanya iyo kazi lakini leo tutatumia Lucky patcher.
Install lucky patcher kwenye simu yako ifungue kisha nenda kwa app unayotaka kuweka kwenye system
nenda mpaka tools kisha chagua move to system app
Bofys hapo itakuuliza 
kubali kwa kubofya yes, baada ya hapo simu yako itajizima na kuwaka,vuta subira kidogo itakuwa tayari.
Je utajuaje kama tayari,app uliyoweka itakuwa tofauti na zingine ambazo bado kwa mfano app ambayo tayari huwezi tena kuifuta hakuna option ya Uninstall
Lakini kwa ambayo bado utaweza kuona neno Uninstall kwa maana kwamba unaweza kuitoa
Kuna sehemu umechemka niandikie kwenye comment chini hapo