Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

27.9.17

Jinsi ya ku Hack Dream League 2017

Hakuna kero kubwa katika games mbalimbali kama kukosa coin za kufanya manunuzi kama wachezaji,magari,silaha n.k,unapotaka kununua unaambiwa lazma uwe na coin, na ili kupata coin lazna uweke hela ndo upate.
   Leo nakupa njia rahisi sana ya kupata coin katika game la DLS17.
Kuna njia kadhaa za kupata kama kutumia Luckpatcher lakini italazimika kupakua data za ndani upya. Hii njia ni rahisi sana.
   Pakua Dream League
Likishaingia kwenye simu yako nenda kwenye storage lilipoingilia kama ni sd au intermal sd sawa Android
Data
com.firsttouchgames.dls3
Files
Hatua inayofuata fungua files ndani yake kuna ka file kadogo sana profile.dat
Futa icho ki file.
Kuwa makini njia zilizooneshwa hapo juu
Njoo ingia hapa Download utapakua kengine kakisha kuingia kachukue(copy/cut) kipeleke kule ulikotoa kale ka mwanzo kisha kiachie hapo(paste). Rudi nyuma reboot simu yako fungua game lako enjoy maisha kuna coin zaid ya 12000000.
Kama kuna swali andika kwenye comment nitajibu