Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

24.9.17

Huawei Yaishangaza Dunia

 • Kampuni ya Huawei itaachia simu zake maarufu kutoka katika familia Mate,kwa wapenzi wa Simu hizi zitakuja katika matoleo matatu kwa mpigo.
 • Mate 10,Mate 10 Pro,Mate 10 Lite
 • Simu hizi zinakuja zikiwa na sifa tofauti tofauti lakini kubwa ni kuja na kamera 4,mbili nyuma na mbili mbele
  Mate 10 Pro inakuja na K

 • ampuni ya Huawei itaachia simu zake maarufu kutoka katika familia Mate,kwa wapenzi wa Simu hizi zitakuja katika matoleo matatu kwa mpigo.
 • Mate 10,Mate 10 Pro,Mate 10 Lite
 • Simu hizi zinakuja zikiwa na sifa tofauti tofauti lakini kubwa ni kuja na kamera 4,mbili nyuma na mbili mbele 
  kamera nyuma MP20 ya mbele MP12
  Ujazo wa diski uhifadhi GB64/128
  Ram ikiwa ni GB 6