Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

18.9.17

Huawei nao waingia vitani

Kuna tetesi kuwa Huawei nao wata tambulisha simu yao ya Mate 10  ambayo itakuwa na umbile kama la iPhone X,LG V30 na Galaxy Note 8.
Tetesi hizo zimevuma baada ya Huawei kupost picha kwenye ukurasa wao wa Facebook.
Huenda ikapewa jina la Al.
Hizi ni baadhi ya sifa zake pamoja na muonekano wake.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadiri tunavyoendelea kuzipata