Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

14.9.17

HiOS ni ninii??

#Ujuzi
Huenda umewahi kujiuliza kuhusu HiOS,leo nitafafanua kuhusu swali hilo
 HiOS ni programu endeshi inayotumika kwenye simu za Tecno kama ilivyo kwa iPhones (iOS) Huawei (Emui) n.k
Hii imekuja kuwa mbadala wa Android stock iliyokuwa inatumika awali
    Kipi kipya
Kilicho ongezeka ni utendaji wa haraka na kwa wepesi zaidi
Pia unaweza kuuwa app zinazoendelea(background running)wakati hazitumiki
Pia kuna Hi Manager ambayo ndani yake utapata Hi themes,Hi wallpaper Hi font n.k
   Ilianza lini
Simu ya kwanza kuja na HiOS ni Tecno J8 ambayo ilikua ni HiOS 1.0 na baadaye kupewa maboresho ikawa 1.5
Kwa sasa toleo ambalo ni la kisasa zaidi ni 2.0 ambayo ni sawa na Android 7.0
 

  Asante kwa usomaji wako kama kuna maoni karibu katika kundi la telegram https://t.me/joinchat/FdozBEK3iuOc9f85DBzkBA