Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

30.9.17

GBInstagram mbioni kuja

Watengenezaji wa GBWhatsApp wametoa taarifa kuwa wako mbioni kuachia app yao ya GBInstagram,hii italeta ushindani sana kutokana na kuwepo kwa Instagramplus kwenye masoko mengi ya android,hii itakuwa na uwezo wa kipekee wa kumpa mtumiaji uwezo wa kupakua picha au video instagram au ku copy link na kupakulia kwenye vibinjari vingine.

Kuleta sokoni app hii kutawaongezea umaarufu sababu tunakumbuka apps zao kama 
  • GB WhatsApp
  • GBWhatsApp+
  • GBWhatsApp3
Uko tayari kutumia GBInstagram? Niachie jibu lako kwenye comment chini hapo