Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

19.9.17

Faida za kuroot simu

Kuroot simu kuna faida gani? hili swali kila vijana wengi sana wanajiuliza,hii inatokana na kusikia au kusoma mitandaoni kuwa kuna kuroot simu.
Kupitia blog hii utapata kujua faida na hasara za kuroot simu.
   
Kuroot simu ni kitendo cha kujipa mamlaka ya kuifanya simu yako jinsi unavyota.
Faida za kuroot
1.Utaweza kubadilisha mfumo mzima wa simu(rom)
2.Utaweza kufuta hata zike apps zilizokuja na simu(system apps)
3.Utaweza kuweka apps zako unazotaka kwenye system (install system apps)
4.Utaifanya simu yako iwe na nafasi ya kutosha
Faida ni nyingi.
Hasara ya kuroot
1.hasara kubwa kabsa ni kupoteza warrant yako*
2.unaweza kuua simu kama utachezea ndani zaidi
Hasara sio nyingi kama faida,kuna aina tofauti za kuroot simu,njia ambayo ni maarufu ni ile ya Kingroot 
Njia hii inatumiwa na watu wengi sana sababu haina ujuzi mkubwa,ni kupakuwa App hiyo na na kuroot, kumbuka sio matoleo yote ya Android yanayokubali app hii.(kama unaitaka pakuwa👉 hapa)
{Haipatikani play store}
Njia ingine ni Kingoroot.

Hii ina njia mbili kwa simu(apk) na kwa PC.
Kwa upande wa simu njia ni ile ile kama ya Kingroot 
Kwa upande wa Kingoroot ya Kompyuta inakubidi utumie USB cable,ili simu yako iweze kuonana na kompyuta angalia picha hizi
Bonyeza zaidi mara 4 ili kupata developer options kisha ukirudi nyuma kwenye settings utaona kama hivi
 hapo sasa wewe ushakuwa developer ingina ndani weka on hapa
hapo umemaliza.
Chomeka USB cable yako kwenye kwenye Kompyuta na utaona simu yako inakuwa kama hii
 hapo unaweza kuanza kuroot.
Nyia ya mwisho ni kuroot kwa kutumia Recovery.
Kama simu yako inatumia prosesa ya MTK utatumia Programu ya SP Flash Tool ina muonekano huu
Kwa wale wa prosesa za Snapdragon
Lazma utumie Odin 

Naishia hapo kama kuna swali karibu kwenye comment au unaweza kuja kwenye group letu telegram  hapa 👇