Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.9.17

Download First Touch 2017


Kama umefanikiwa kucheza FTS15 basi uliona utofauti na Dream League,uzuri wa FTS17  ni pale unapokuwa umechoka kufundisha timu fulani unaweza kujiuzuri na kwenda kupewa kibarua kwenye club ingine,hili game lilipendwa sana shida ikaja kwenye kupata coin za ku unlock VIP class,sasa kupitia blog hii nimekuwekea hapa maboresho ya FTS15 kuwa FTS17 hapa inamaanisha wachezaji wako updated.
               Mahitaji

  1. Rar(hii ndio nzuri)
  2.  Zarchiver
  3. MB za kupakua
Pakuwa FTS17 hapa👉 FTS17.zip
Ukimaliza lifungue,kisha chukua folder lote la (com.firsttouchgames.fts15)
Lipeleke kwenye internal au sd card kisha android/obb.
Install apk ya FTS17 ukimaliza reboot simu yako na unaweza kucheza ivyo ivyo,lakini shida kwenye coin ingia hapa 👉 Download. Ukimaliza

         Kuwa makini kidogo
Ingia Android/data/com.firsttouchgames.fts15/file afu shuka mpaka uone kama hivi(kuna file nyingi sana usichoke kushuka mpaka uone)


Futa icho kifile kisha chukua kile ulicho pakua njoo ki paste hapo, ukimaliza reboot simu yako enjoy

     Karibu Telegram group ingia hapa SmatSkills