Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

20.9.17

Dowload game la Pes2016(PPSSPP) kwenye Android

Pes ni moja kati ya michezo ya kwenye simu inayopendwa sana, kwanzia kwenye Kompyuta na hata kwenye simu pia,shida inakuja pale unapoingia Play Store unakuta ina ujazo wa 1.5GB
Wengi wakiona hivyo wanakata tamaa,leo nakuwekea hapa,hili ni la mfumo wa kwenye Kompyuta lakini utalicheza kwenye simu yako.
        CHA KUFANYA INGIA PLAYSTORE

  1. PAKUWA APP YA RAR
  2. INGIA HAPA👉 Download 
  3. TUMIA RAR KULIFUMGUA
  4. NDANI KUNA FILE 3
  • PES2016 YENYEWE
  • MAELEKEZO
  • PPSSPP APK
Fanya ku install iyo PPSSPP,ukimalia hatua hiyo ifumgue afu nenda kule uliko fungulia game lako utaliona na utaanza kucheza.huenda ikawa ulikuwa umechoshwa na Dream League lakini kupitia Pes2016 utafurahia  challenge zake.


   Karibu kwenye group letu Telegram hapa 👇
               SmatSkills