Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

17.9.17

Chunguza simu yako ya Android kama ina virus bila apps

Sasa unaweza kuscan simu yako ya android bila kutumia app mbadala, huduma hii inatolewa na Google wenyewe, huenda ikawa ni baada ya apps nyingi kuonekana kuwa si za kweli ndio maana wakaboresha huduma hii kupatikana kutoka kwao wenyewe.
  Fuatana na picha hizi kuscan
 Nenda kwenye app ya Google settings kama inavyoonekana hapo.
Kisha security
Afu unakuja tena 
Ukifika hapo utaona baadhi ya apps ambazo ni scaned

Kama sehemu ya scan device for security hakujawashwa hakikisha unawasha
Mapaka hapo huna haja ya kutumia apps nyiingi kujaza simu yako bure,leo tuishie hapo
   Share na nduguzo maujanja kama haya